Fomu imepakuliwa!
🖼️ Badilisha Logo🖼️ Change Logo

Logo ya kampuni imewekwa tayari. Unaweza kubadilisha kwa kupakia PNG au JPEG nyingine hapa.Company logo is already set. You can replace it by uploading a different PNG or JPEG here.

Bonyeza au buruza faili hapaClick or drag file here PNG · JPEG · JPG
Logo Preview
Faili imepakiwa — rekebisha kabla ya kuweka: File loaded — edit before applying:
NyumbaniHome KuhusuAbout HudumaServices Jinsi Inavyofanya KaziHow It Works KikokotooCalculator Omba MkopoApply Loan MatawiBranches MawasilianoContact MkatabaContract

✂️ Rekebisha & Kata LogoEdit & Crop Logo

Buruta mstari wa chungwa kukata sehemu unayotaka. Tumia zoom kuzidisha ukubwa.Drag the orange border to crop the area you want. Use zoom to resize.

🔍 100%
Mwonekano:Preview: preview preview circle Itaonekana hivi kwenye navbarWill appear like this in navbar
🇹🇿 Kampuni ya Mikopo – Tanzania 🇹🇿 Microfinance Company – Tanzania

Ihacha Credit
Company Limited
Ihacha Credit
Company Limited

✨ "Kwa Pamoja Tunabadilisha Maisha" ✨ "Together We Transform Lives"

Msaada wa Kifedha Unaotegemewa kwa Watumishi wa Serikali Tanzania. Tunakusaidia kupata mkopo wa haraka, salama na wa kuaminika. Reliable Financial Support for Government Employees in Tanzania. Fast, secure, and trusted loan services tailored for you.

12+
MatawiBranches
5K+
WatejaClients
10+
Miaka ya UzoefuYears Experience
Mkopo wa DharuraEmergency Loan
TZS 2,000,000
Inapokelewa: Siku 1Approved in 1 Day
Mkopo wa Muda MrefuLong-Term Loan
TZS 10,000,000
Wastani wa riba: 3% / mweziInterest rate: 3% / month
Maendeleo ya MalipoRepayment Progress68%
Idhini ya HarakaQuick Approval
ImeidhinishwaApproved
🏦 Ihacha Credit Co. Ltd
Salama na SerikaliGovernment Regulated
Idhinisho la HarakaFast Approval Process
Taarifa Zako ZinalindwaYour Data is Secure
Hakuna Ada ZilizofichwaNo Hidden Charges
Watumishi wa Serikali Peke YaoGovernment Employees Only
IC
10+
Miaka ya UzoefuYears of Experience
Tunajua Mahitaji YakoWe Know Your Needs

Nani Anayestahili Mkopo? Who Qualifies for a Loan?

Ihacha Credit Company Limited inatoa mikopo kwa watumishi wa serikali wa Tanzania. Hapa ni vigezo vya msingi: Ihacha Credit Company Limited offers loans exclusively to Tanzania government employees. Here are the basic eligibility criteria:

Mtumishi wa SerikaliGovernment Employee

Lazima uwe mtumishi rasmi wa serikali ya Tanzania anayepokea mshahara kupitia benki.Must be a registered Tanzania government employee receiving salary through a bank.

Ana Namba ya Utambulisho (NIDA)Valid NIDA Identification

Unahitaji namba ya NIDA (Kitambulisho cha Taifa) kwa uthibitisho.A valid NIDA national ID number is required for verification purposes.

Mshahara UnaoendeleaActive Salary Payment

Kiasi cha mkopo kinazingatiwa kulingana na mshahara wako wa kila mwezi.Loan amount is assessed based on your monthly net salary amount.

Huduma ZetuOur Services

Tunakusaidia Kufikia Malengo YakoWe Help You Reach Your Goals

Tunatoa huduma mbalimbali za mikopo iliyoundwa mahususi kwa watumishi wa serikali.We provide various loan services specifically designed for government employees.

💼

Mkopo wa Muda MrefuLong-Term Loan

Mkopo wa miezi miwili na kuendelea kulingana na makubaliano. Kiasi kikubwa, riba ya chini, malipo ya starehe kwa watumishi wa serikali.Loan of two months and above as per agreement. Large amounts, low interest, comfortable repayments for government employees.

Hadi TZS 10,000,000Up to TZS 10,000,000
Miezi 2 na kuendelea2 months and above
Malipo kulingana na makubalianoRepayment as per agreement
Riba nafuu — hakuna ada zilizofichwaLow interest — no hidden charges

Mkopo wa DharuraShort-Term Loan

Mkopo wa mwezi mmoja tu. Pata pesa haraka kwa mahitaji ya dharura — inapokelewa ndani ya saa 12–24.One month loan only. Get cash fast for urgent needs — approved within 12–24 hours.

Muda: Mwezi 1 tuDuration: 1 month only
Inapokelewa saa 12–24Approved in 12–24 hours
Mchakato rahisi na wa harakaSimple and fast process
Pesa taslimu au benkiCash or bank disbursement
🌐

Maombi ya MtandaoniOnline Application

Omba mkopo wako mtandaoni bila kwenda ofisini. Haraka, rahisi na salama kutoka nyumbani kwako.Apply for your loan online without visiting the office. Fast, easy and secure from your home.

Omba kutoka mahali popoteApply from anywhere
Fomu rahisi ya kujazaEasy-to-fill form
Taarifa kupitia simuSMS status updates
Mfumo salamaSecure system
MchakatoProcess

Jinsi ya Kupata MkopoHow to Get Your Loan

Hatua rahisi nne tu na mkopo wako utakuwa tayari.Just four simple steps and your loan will be ready.

1

Jaza FomuFill the Form

Jaza fomu ya maombi mtandaoni au pakua fomu ya PDF na uijaze kwa mkono.Fill the online application form or download and fill the PDF form manually.

2

Wasilisha NyarakaSubmit Documents

Wasilisha NIDA, Namba ya Utumishi, na barua kutoka kwa mwajiri wako.Submit your NIDA, Employment Number, and letter from your employer.

3

Ukaguzi wa MaombiApplication Review

Timu yetu itakagua maombi yako haraka ndani ya saa 12–24.Our team will review your application within 12–24 hours.

4

Pata Pesa YakoReceive Your Money

Pesa itatumwa moja kwa moja kwenye akaunti yako ya benki.Funds will be sent directly to your bank account upon approval.

Hesabu MkopoLoan Calculator

Kikokotoo cha MkopoLoan Calculator

Hesabu kiasi utakacholipa kabla ya kuomba mkopo wako.Calculate how much you'll repay before applying for your loan.

Ingiza Taarifa za MkopoEnter Loan Details

500,000
10K5M10M
Asilimia inayotumika Applied interest rate 20%
Mwezi 1 tu1 month only20%
Miezi 2–32–3 months25%
Miezi 4–64–6 months30%
Miezi 7–97–9 months35%
Miezi 10–1210–12 months40%
Zaidi ya miezi 12Over 12 monthsMakubalianoBy Agreement
12
1612
Omba Mkopo SasaApply for This Loan Now
Malipo ya Kila MweziMonthly Installment
TZS 0
kwa kila mweziper month
Kiasi cha MkopoPrincipal Amount TZS 0
Riba (20% × Mkopo) Interest (20% × Principal) TZS 0
Jumla (Mkopo + Riba) ÷ Miezi Total (Principal + Interest) ÷ Months TZS 0
📐 Mfano: Mkopo 500,000 × 30% = Riba 150,000 → Jumla 650,000 ÷ miezi 5 = 130,000/mwezi 📐 Example: Loan 500,000 × 30% = Interest 150,000 → Total 650,000 ÷ 5 months = 130,000/month

* Hesabu hizi ni za mwongozo tu. Kiasi halisi kinaweza kutofautiana kulingana na hali yako. * These calculations are for guidance only. Actual amounts may vary based on your circumstances.

Maombi ya MkopoLoan Application

Omba Mkopo Wako Leo Apply for Your Loan Today

Jaza fomu yetu ya mtandaoni au pakua fomu ya PDF ukajaze nyumbani na uiwasilishe kwenye tawi lolote la karibu nawe. Fill out our online form or download the PDF form and submit it at any branch near you.

Kitambulisho cha NIDA kilicho haiValid NIDA Identification
Barua ya mwajiri / Namba ya UtumishiEmployer letter / Employment Number
Taarifa ya mshahara (miezi 3)Salary slip (last 3 months)
Akaunti ya benki inayofanya kaziActive bank account details

Fomu ya Maombi ya MkopoLoan Application Form

Fomu imeunganishwa kikamilifu!Form fully connected!
Maombi yatatumwa moja kwa moja kwenye: [email protected] Applications will be sent directly to: [email protected]

📎 Nyaraka ZinazoambatishwaAttached Documents

Bonyeza au buruta picha yako hapa Click or drag your photo here

JPG · PNG · Max 2MB

Vielelezo Unavyopaswa KuletaDocuments to Bring:

Maombi Yamewasilishwa! 🎉Application Submitted! 🎉

Asante! Data yako imeingia kwenye mfumo wetu. Timu yetu itawasiliana nawe ndani ya masaa 12–24.Thank you! Your data has been recorded in our system. Our team will contact you within 12–24 hours.

📊 Maombi yako yamehifadhiwa kwenye Google Sheets ya Ihacha Credit.Your application has been saved to Ihacha Credit's Google Sheets.
Matawi YetuOur Branches

Tukiwa Karibu Nawe Tanzania NzimaLocated Near You Across Tanzania

Tuna matawi 12 katika mikoa mbalimbali ya Tanzania. Tembelea tawi lolote karibu nawe.We have 12 branches across various regions of Tanzania. Visit any branch near you.

Kigoma

Mkoa wa Kigoma – Wilaya ya KigomaKigoma Region – Kigoma District

Makao MakuuHead Office

Kasulu

Mkoa wa Kigoma – Wilaya ya KasuluKigoma Region – Kasulu District

TawiBranch

Mwanza

Mkoa wa Mwanza – Wilaya ya IlemelaMwanza Region – Ilemela District

TawiBranch

Maswa

Mkoa wa Simiyu – Wilaya ya MaswaSimiyu Region – Maswa District

TawiBranch

Bukoba

Mkoa wa Kagera – Wilaya ya BukobaKagera Region – Bukoba District

TawiBranch

Geita

Mkoa wa Geita – Wilaya ya GeitaGeita Region – Geita District

TawiBranch

Bariadi

Mkoa wa Simiyu – Wilaya ya BariadiSimiyu Region – Bariadi District

TawiBranch

Katavi

Mkoa wa Katavi – Wilaya ya Mlele & MpandaKatavi Region – Mlele & Mpanda Districts

TawiBranch

Singida

Mkoa wa Singida – Wilaya ya Singida MjiniSingida Region – Singida Urban District

TawiBranch

Arusha

Mkoa wa Arusha – Wilaya ya Arusha MjiniArusha Region – Arusha Urban District

TawiBranch

Mbeya

Mkoa wa Mbeya – Wilaya ya Mbeya MjiniMbeya Region – Mbeya Urban District

TawiBranch

Dodoma

Mkoa wa Dodoma – Wilaya ya Dodoma MjiniDodoma Region – Dodoma Urban District

TawiBranch
Wasiliana NasiGet In Touch

Tuko Hapa KukusaidiaWe're Here to Help You

Piga simu, tuma ujumbe, au tembelea tawi lolote karibu nawe.Call, message, or visit any branch near you today.

Mawasiliano YetuOur Contact Info

Timu yetu iko tayari kukusaidia Jumatatu hadi Ijumaa, 8:00 asubuhi hadi 5:00 jioni.Our team is ready to assist you Monday to Friday, 8:00 AM to 5:00 PM.

SimuPhone

+255 762 405 953

+255 616 009 969

Makao MakuuHead Office

Kigoma, Tanzania

Tuma UjumbeSend Us a Message

Fomu imeunganishwa kikamilifu!Form fully connected!
Ujumbe utatumwa moja kwa moja kwenye: [email protected] Messages will be sent directly to: [email protected]

Ujumbe Umetumwa! ✅Message Sent! ✅

Asante! Ujumbe wako umefika. Tutajibu ndani ya masaa 24.Thank you! Your message has been received. We'll reply within 24 hours.

✅ Mkopo Umepitishwa ✅ Loan Approved

Fomu ya Kukubali Mkopo & Mkataba Loan Acceptance Form & Contract

Baada ya mkopo wako kupitishwa, jaza fomu hii kukubali masharti na kusaini mkataba wako wa kidijitali. After your loan is approved, fill this form to accept the terms and sign your digital contract.

📋 Thibitisha Masharti ya Mkopo Confirm Loan Terms

Jaza taarifa zako na ukubali masharti yaliyopitishwa na Ihacha Credit. Enter your details and accept the terms approved by Ihacha Credit.

📄 Muhtasari wa Mkataba Contract Summary

Kiasi cha MkopoLoan Amount TZS —
Malipo kwa MweziMonthly Payment TZS —
Jumla ya KulipaTotal Repayment TZS —
Riba ya Kila MweziMonthly Interest 3%
Muda wa KulipaRepayment Period MieziMonths

Masharti MuhimuKey Terms

Malipo yatakatwa kupitia mshahara kila mwezi Payments deducted from monthly salary
Hakuna ada zilizofichwa No hidden charges or fees
Mkopo unaweza kulipwa mapema bila adhabu Early repayment allowed without penalty
Ucheleweshaji wa malipo utasababisha adhabu Late payment will attract penalty charges
Mkataba huu unalindwa kisheria Tanzania This contract is legally binding in Tanzania
SalamaSecure
KisheriaLegal
RasmiOfficial